Idadi wa watu walionenepa kupita kiasi kuongezeka

Utafiti mpya umetolewa ambao unasema kuwa karibu robo ya watu walioko ulimwenguni watakuwa na Unene kupita kiasi ifikapo mwaka wa 2045 , huku mmoja kati ya watu wanane duniani atakuwa na ugonjwa wa kisukari.

Je, wakubaliana na utafiti huo? Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili