Ahmed hassan: Msanii anayetumia michoro kuleta amani Somalia
Huwezi kusikiliza tena

Ahmed Hassan: Anahimiza amani Somalia kupitia kwa michoro yake Mogadishu

Ahmed hassan ni msanii wa kipekee Somalia aliyepata umaarufu kwa michoro yake ya kusisimua.

Ahmed amejifunza mwenyewe sanaa ya kuchora na sasa anasambaza historia ya Somalia kote ulimwengu huku akihimiza amani katika taifa hilo.

Mada zinazohusiana