Mambo matano kuhusu jinsi wanaume wanavyoathiriwa na fistula

Je, wajua kuwa wanaume pia huathirika na ugonjwa wa fistula, ambao huhusisha kupasuka kwa njia ya uzazi na mbegu za uzazi au mayai kuingiliana na njia ya kwenda haja ndogo?

Tumezungumza na Dkt Weston Khisa ambaye ni mtaalamu wa masuala ya uzazi na matatizo ya fistula, ambaye anatueleza mambo matano ambayo fistula kwa wanaume.