Habari za Global Newsbeat 1000 25/05/2018
Huwezi kusikiliza tena

GNB:Uber kuanza kutoa usafiri wa ndege

Uber inampango wa kubuni texi za ndege kwa kufungua maabara yake huko nchini Paris ili kutengeneza ndege hizo.

Je, wewe unaweza kutumia texi hizo za huduma ya ndege?

Tueleze kwenye ukurasa wetu wa Facebook,BBCSwahili.