Habari za Global Newsbeat 1000 28/05/2018
Huwezi kusikiliza tena

GNB: Urusi imeshuhudia visa vya ubaguzi wa rangi

Asilimia moja kati ya raia wa Urusi milioni 144 ni weusi. Kwa miaka mingi mashirika ya kutetea haki za binadamu wamelalamikia kuhusu visa vya ubaguzi wa rangi nchini humo.

Je, matarajio yako ni wapi kuhusiana na michezo ya Kombe la Dunia inayotarajiwa kuanza mwezi ujao huko Urusi?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com

Mada zinazohusiana