Habari za Global Newsbeat 1500 28/05/2018
Huwezi kusikiliza tena

GNB: Mhamiaji wa Mali apongezwa na wazazi wa mtoto

Mhamiaji wa Mali,Mamoudou Gassama amekutana na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron baada ya video yake kusambaa mitandaoni ikimuonyesha jinsi alivyomuokoa mtoto aliekuwa kwenye uzio wa ubaraza wa ghorofa ya nne kwenye jengo refu.

Je, rais wa Ufaransa anastahili kumpatia zawadi gani?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com

Mada zinazohusiana