Habari za Global Newsbeat 1000 29/05/2018
Huwezi kusikiliza tena

GNB: Mlinda lango wa Liverpool Loris Karius ameshauriwa ahamie taifa

Mlinda lango wa Liverpool Loris Karius ameshauriwa ahamie taifa jingine kucheza soka baada ya makosa mawili yalio changia klabu hiyo kufungwa magoli mawili katika fainali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

Je, kipa huyo anastahili kuliaga klabu yake?

Tuwasiliane kwenye BBCSwahili.com

Mada zinazohusiana