Global NewsBeat 15.00 07.06.2018: Wanafunzi wa vyuo vikuu wanasema hawafunzwi vya kutosha

Global NewsBeat 15.00 07.06.2018: Wanafunzi wa vyuo vikuu wanasema hawafunzwi vya kutosha

Wanafunzi wanataka saa nyingi za kufundishwa kwenye vyuo vikuu - huku uchunguzi wa kila mwaka ukionyesha kwamba wanafunzi wawili kati ya watano tu ndio wanafikiri wanapata thamani kwa karo wanayolipa.

Uchunguzi wa wanafunzi 14,000 wa Uingereza ulionyesha ada ya mafunzo na ubora wa kufundisha ndio sababu kubwa za kutoridhika. Je, unaridhika na masaa unayofunzwa katika chuo chako