Haba na Haba: Nini sababu ya uvuvi kutokuwa maarufu Tanzania?

Haba na Haba: Nini sababu ya uvuvi kutokuwa maarufu Tanzania?

Tanzania ina maeneo mengi ya maji baridi na maji yenye chumvi ikiwa ni pamoja na maziwa matatu makuu – Victoria, Tanganyika na Nyasa.

Katika Haba na Haba, tunauliza, je ni kwa nini fursa za kiuchumi sekta ya uvuvi hazijachangamkiwa ipasavyo na matunda yake kiuchumi hayaonekani?