Huwezi kusikiliza tena

Frashia Gathanga: Nilibarikiwa na watoto watatu wa 'mwujiza'

Akiwa na miaka 53 alijaliwa watoto watatu kwa mpigo. Miaka mitatu baada ya watoto kuzaliwa, mumewe aliaga dunia.

Bi Frashia Gathanga alituelezea kuhusu watoto wake anaowaita wa miujiza.

Mada zinazohusiana