Canada yakaribia kuhalalisha matumizi ya bangi
Huwezi kusikiliza tena

Global Newsbeat 15.00 08.06.2018: Canada yakaribia kuhalalisha matumizi ya bangi

Kipengele muhimu cha sheria cha kuelekea kuhalalisha matumizi wa bangi kimepitishwa nchini Canada.

Maseneta wa nchi hiyo walipiga kura kupitisha kipengele hicho kwa kura hamsini na sita kwa thelathini. Je, utumizi wa bangi unafaa kuhalalishwa? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbbc news Swahili.

Mada zinazohusiana