Tazama mkutano wa ana kwa ana kati ya Donald Trump na Kim Jong un
Huwezi kusikiliza tena

Tazama mkutano wa ana kwa ana kati ya Donald Trump na Kim Jong un

Mkutano wa kihistoria kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un umefanyika nchini Singapore.

Wawili hao walikutana kwanza kwa dakika 38 kwa mujibu wa ikulu ya White House, na walikuwa ni wawili hao pekee na wakalimani wao.