Mkenya anayeandika na kusoma kitabu upane wa juu ukiwa chini
Huwezi kusikiliza tena

Mkenya anayeandika akiwa amepindua kitabu, wewe unaweza?

Kijana huyu Mkenya anasoma na kuandika kitabu kikiwa kimegeuzwa, upande wa juu ukiwa chini.

"Nimekuwa nikiandika hivi kwa mika 20 sasa," Daniel Mirera, mwanafunzi wa sheria ameambia BBC.

Huwa anaandikaje majibu ya mtihani? Huwa anatumia simu vipi? Tazama.

Video: Anthony Irungu, BBC

Mada zinazohusiana