Kwa nini Afrika itanyakua kombe la dunia

Kwa nini Afrika itanyakua kombe la dunia

Tangu kuanzishwa kwa michuano ya kombe la dunia, hakuna timu ya Afrika imeibuka mshindi lakini mwaka huu, kulingana na afisa wa kandanda eneo la bonde la ufa, Ramadhan Mbugua, Afrika itashinda kombe hilo kupitia mmoja ya waakilishi wake watano ambao ni Nigeria, Senegal, Tunisia, Morocco na Misri…….John Nene amezungumza na Mbugua mjini Nakuru