Global Newsbeat 14.06.2018: Mwalimu afutwa kazi Urusi juu ya picha za Instagram

Global Newsbeat 14.06.2018: Mwalimu afutwa kazi Urusi juu ya picha za Instagram

Watumizi wa mtandao nchini Urusi wameshutumu vikali tukio ambapo mwalimu mmoja wa kike amefutwa kazi baada ya picha zake akiwa kwenye nguo za kuogelea kusambaa kwenye mtandao wa Instagram.

Je, ni haki kumfuta mwalimu kazi kwa sababu picha zake zimesambaa kwenye mtandao? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcnewsSwahili.