Argentina yakaribia kuidhinisha utoaji mimba
Huwezi kusikiliza tena

Global Newsbeat 15.06.2018: Argentina yakaribia kuidhinisha utoaji mimba

Bunge la chini nchini Argentina, taifa lenye Wakatoliki wengi, limeunga mkono hoja inayohalalisha utoaji wa mimba katika wiki kumi na nne za kwanza.

Je, unadhani ni haki kwa wanawake kupewa uhuru wa kutoa mimba kwa sababu yeyote ile? Tupe maoni yak0o ikwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcnewsSwahili.