Habari za Global Newsbeat 1000
Huwezi kusikiliza tena

GNB: Uraibu wakucheza michezo ya elektroniki ni tatizo la kiakili.

Shirika la Afya Duniani,WHO,limetambua uraibu wakucheza michezo ya elektroniki kama tatizo la kiakili.Wadau katika mashirika ya kuunda michezo hiyo, wanatilia shaka matokeo ya utafiti uliyochangia uamuzi huo wakisema, hilo linastahili kujadiliwa zaidi.