Olivia Sang: Mwanamitindo anayejivunia umaridadi wa kuwa na ngozi nyeusi

Olivia Sang: Mwanamitindo anayejivunia umaridadi wa kuwa na ngozi nyeusi

Olivia Sang ni mwanamitindo Mwafrika ambaye amekuwa akikabiliana na ubaguzi dhidi ya watu wenye ngozi nyeusi katika jamii.

Anasema alikuwa anabaguliwa kwa sababu ya kuwa na ngozi nyeusi alipokuwa mdogo lakini amepata umaarufu kutokana na kuwa mwanamitindo.

Olivia anasema hawezi kutaka ngozi nyingine fursa hiyo ingetokea.