Je ni wabunge wote Tanzania wanaopimwa HIV
Huwezi kusikiliza tena

Je ni wabunge wote Tanzania wanaopimwa HIV

Takwimu za serikali Tanzania zinasema takriban watu milioni 1.4 wanaishi na virusi vya ukimwi lakini ni asilimia 52 tu walio na ufahamu kuhusu hali zao. Serikali imeidhinisha kampeni ya miezi sita inayonuiwa kuwatibu watu wanaoishi na virusi vya HIV kwa dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo (ARVs). Wabunge wamejitokeza kupimwa kama mfano kwa jamii

Mada zinazohusiana