GlobalNewsbeat 21.06.2018: Raia wa India atumia baiskeli kwenda kumuona Messi

Kuanzia tarehe 23 Februari, Clifin Francis alianza safari ya kwenda Urusi kutoka Kusini mwa India kumuona mchezaji mashuhuri Messi. Alisafiri kwa ndege hadi Dubai kisha. Feri hadi Iran.

Toka hapo alisafiri kilomita 4200 kwa baiskeli hadi Urusi. Waweza kusafiri umbali gani hadi kufikia shujaa wako?