Kwa Picha: Wanakulima wa mwani wakabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Zanzibar

Kutengeneza bidhaa zitokanazo na mwani kumeleta matumaini mapya kwa wakulima wa mwani licha ya changamoto ya hali ya hewa inayotukabili.

Mkulima wa mwani akivuna mwani huo
Image caption Mkulima wa mwani akivuna mwani huo
Wanawake wakifunga kamba kwa ajili ya kulimia mwani Zanzibar
Image caption Wanawake wakifunga kamba kwa ajili ya kulimia mwani Zanzibar
Mwani umebadilisha mtazamo sio tu kiuchumi lakini hata kitamaduni katika kisiwa cha Zanzibar
Image caption Mwani umebadilisha mtazamo sio tu kiuchumi lakini hata kitamaduni katika kisiwa cha Zanzibar
Mwani chakula ,mwani ajira..Bi Hifadhi Makame anajivunia kuwa mkulima wa mwani
Image caption Mwani chakula, mwani ajira. Bi Hifadhi Makame anajivunia kuwa mkulima wa mwani
Wakulima wa mwani katika maji ya kirefu wameanza mafunzo ya kuogelea pia ili wasipate shida baharini
Image caption Wakulima wa mwani katika maji ya kirefu wameanza mafunzo ya kuogelea pia ili wasipate shida baharini
Unaweza kupika vyakula mbalimbali kwa kutumia mwani
Image caption Unaweza kupika vyakula mbalimbali kwa kutumia mwani
Mabadiliko ya tabia nchi yanaathiri ukuaji wa mwani kisiwani zanzibar
Image caption Mabadiliko ya tabia nchi yanaathiri ukuaji wa mwani kisiwani zanzibar
sea weed center kituo ambacho watalii wanafika kushuhudia jinsi mwani unavyotengeneza vipodozi kama sabuni na mafuta
Image caption Seaweed center kituo ambacho watalii wanafika kushuhudia jinsi mwani unavyotengeneza vipodozi kama sabuni na mafuta
Mafuta haya ya kupaka yanagharimu dola 12 wakati kilo moja ya mwani haifiki hata dola moja
Image caption Mafuta haya ya kupaka yanagharimu dola 12 wakati kilo moja ya mwani haifiki hata dola moja

Picha zote Esther Namuhisa, BBC

Mada zinazohusiana