Akon kuanzisha sarafu ya 'kuiokoa Afrika'
Huwezi kusikiliza tena

Global Newsbeat 22.06.2018: Akon kuanzisha sarafu ya 'kuiokoa Afrika'

Mwanamziki Akon amesema anapanga kuzindua sarafu yake iitwayo Akoin. Akizungumza wakati wa hafla ya Cannes Lions Festival, amesema anaamini sarafu ya kidijitali ndiyo mwokozi wa Bara la Afrika.

Je, unakubaliana na Akon kwamba sarafu ya kidijitali ndio njia mwafaka? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcnewsSwahili.

Mada zinazohusiana