Wajibu wa jamii Tanzania katika kuhakikisha hedhi salama
Huwezi kusikiliza tena

Haba na Haba: Wajibu wa jamii Tanzania katika kuhakikisha hedhi salama kwa wasichana

Katika Haba na Haba, tunaangazia suala la hedhi miongoni mwa wanawake Tanzania. Je, changamoto zinazozuia hedhi salama kwa watoto wa kike Tanzania zinaweza kumalizwa?