Global Newsbeat 26.06.2018 : Simu za mkononi kupigwa marufuku kwa wanafunzi Rwanda

Global Newsbeat 26.06.2018 : Simu za mkononi kupigwa marufuku kwa wanafunzi Rwanda

Simu za mkononi kupigwa marufuku kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini Rwanda kwa madai kwamba simu hizo ni kishawishi cha maovu.

Je, ni umri gani mwanafunzi anastahili kuanza kutumia simu za mkononi?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com