Kipaji alichonacho mtoto mchoraji Nigeria
Huwezi kusikiliza tena

Kareem Waris Olamilekan ana kipaji cha uchoraji na ndoto kubwa Nigeria

Kareem Waris Olamilekan ni mtoto mchoraji Nigeria aliyepata ushawishi kutoka kwa wasanii maarufu duniani kama Michelangelo. Ameileza BBC kuhusu safari yake ya uchoraji

Mada zinazohusiana