Habari za Global Newsbeat 1300 28/06/2018
Huwezi kusikiliza tena

Global Newsbeat 28/06/2018: Joe Jackson afariki dunia

Babake mwanamuziki Micheal na Janet Jackson , Joe Jackson amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89 . Familia hiyo imedhibitisha hilo. Jackson amekuwa akipokea matibabu ya saratani ya wengu.