James Mwangi: Mwanamume anayevalia kwa madaha Kenya

James Mwangi: Mwanamume anayevalia kwa madaha Kenya

James Mwangi kila ukikutana naye kwenye mkusanyiko wa watu, hutakosa kumtambua kutokana na mtindo wake wa kipekee wa kuvalia.

Ana mavazi mengi ajabu, yanayojumlisha suti kamili za rangi tofauti, viatu, kofia, mikanda, saa, pete na hata mifuko ya simu, mavazi ambayo anaweza kuya vaa kwa zaidi ya siku mia moja bila kurudia.

Mwandishi wa BBC Swahili Anthony Irungu alikutana naye: