Miti inavyowasiliana na kufaana kisiri
Huwezi kusikiliza tena

Miti inavyowasiliana na kufaana kisiri

Je, wajua kwamba miti huwasiliana na hata kubadilishana rasilimali juu ya ardhi na hata chini ardhini?

Hufanya hivyo kwa kiwango fulani kwa kutumia kuvu au ukungu, kwa Kiingereza fungi, na wakati mwingine mti ukipoteza matumaini ya kuendelea kuishi, husambaza rasilimali kwa miti iliyo karibu.

Wanasayansi wamegundua jinsi mambo haya yote hutendeka.

Mada zinazohusiana