Barabara ilivyoporomoka ghafla China
Huwezi kusikiliza tena

Barabara ilivyoporomoka ghafla China baada ya mvua kubwa kunyesha

Sehemu ya barabara ya urefu wa mita 50 iliporomoka ghafla katika jiji la Guang an, mkoani Sichuan nchini China siku ya Jumapili.

Barabara hiyo iliporomoka baada ya mvua kubwa kunyesha.

Mada zinazohusiana