Museveni anaamini mitandao ya kijamii imejaa umbea
Huwezi kusikiliza tena

WhatsApp na Facebook: Museveni anaamini mitandao ya kijamii imejaa umbea ndio maana kodi i

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kinachoendelea katika mitandao ya kijamii huwa ni gumzo tu na uvumi usio na maana kwa nchi.

Hiyo ndiyo sababu akaanzisha kodi itakayotozwa wanaotumia mitandao hiyo. Amesema kwa mfano, hakuna anayewatoza kodi wanaojishughulisha katika kilimo na shughuli nyingine za manufaa ya taifa.