Kwanini serikali ya Uganda inatoza kodi ya mitandao ya kijamii
Huwezi kusikiliza tena

Kwanini serikali ya Uganda inatoza kodi ya mitandao ya kijamii

Rais Yoweri Museveni alishinikiza mageuzi hayo , akieleza kuwa mitandao ya kijamii huchangia kuenea kwa udaku nchini, anaoutaja kuwa maoni, upendeleo, matusi na hata chati kwa marafiki.