Madarasa shule za awali Tanzania yanatosha?
Huwezi kusikiliza tena

Haba na Haba: Madarasa shule za awali Tanzania yanatosha?

Katika Haba na Haba wiki hii, tunaangazia suala la hali madarasa katika shule za msingi za umma nchini Tanzania.

Je, madarasa ya awali katika shule za umma yanakidhi mahitaji ya kufundishia?

Mada zinazohusiana