'Mimi ni mtu wa kutumia pesa, sijinyimi'
Huwezi kusikiliza tena

Kliniki ya Fedha: Jinsi ya kuboresha uhusiano kwenye ndoa kupitia matumizi ya fedha

Masuala ya kifedha huchangia sana katika uhusiano kwenye familia na mara kwa mara kutoelewana kuhusu matumizi ya fedha huchangia ndoa kuvunjika.

Jijini Nairobi, tumezungumza na Japeth Kathenge na Linah Ingila wanaoishi Ziwani, ambapo wanafungia roho kuhusu masuala ya kifedha katika familia yao.