Chakula kigumu humsaidia mtoto kulala vyema
Huwezi kusikiliza tena

Global Newsbeat 10.07.2018: Chakula kigumu humsaidia mtoto kulala vyema

Watoto wanaopewa chakula imara pamoja na maziwa ya mama kutoka umri wa miezi mitatu wanalala bora zaidi kuliko wale ambao wanaonyonyesha tu, kulingana na utafiti mpya.

Ushauri rasmi ni kunyonyesha mtoto pekee kwa miezi sita ya kwanza. Je, wazazi waanze kuwapa watoto wao chakula mapema au?

Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCNewsSwahili.

Mada zinazohusiana