Nafasi ya mwanamke haitakuwa nyumbani tena ila tu, iwapo ana watoto walio kwenye shule ya chekechea, utafiti wa mtizamo wa kijamii umeashiria. Asilimia saba ya waliofanyiwa utafiti huo walisema wazazi wa watoto walio chini ya miaka mitano wafanye kazi huku mmoja kwa watatu wakiona ni vyema wazazi hao wawalee watoto nyumbani. Je, nafasi ya mwanamke katika jamii ni kuchunga watoto pekee?
Tupe maoni yako kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcnewsSwahili.