Ugonjwa huu wa zinaa huenda ukawa hatari karibuni
Huwezi kusikiliza tena

Global NewsBeat: Ugonjwa huu wa zinaa huenda ukawa hatari karibuni

Ugonjwa usiojulikana sana wa zinaa unaweza kuwa utakaoleta madhara makubwa sana watu wasipojihadhari kulingana na watafiti.

Mycoplasma genitalium (MG) hauna dalili lakini waweza kusababisha wanawake kuwa tasa. Je, mbona watu hawajui ugonjwa huu hatari wa zinaa?

Mada zinazohusiana