Mwanamke wa Kiafrika aliyekabiliana na Waingereza na akashinda

Wakati viongozi wote wa kiume walipokata tamaa, Shujaa Malkia Yaa Asantewaa kutoka ufalme wa Ashanti nchini Ghana alirudisha matumaini. Aliishinikiza jamii ya Ashanti kupigana na Muingereza kukihifadhi 'kiti cha dhahabu', uhuru wa Ashanti. Hii hapa ni hadithi yake.