Sarah Palin: Sacha Cohen alinidanganya ili nikubali kufanya mahojiano naye
Huwezi kusikiliza tena

Sarah Palin amesema mcheshi Sacha Cohen alimdanganya ili akubali kufanya mahojiano naye

Aliyekuwa makamu wa rais wa chama cha Republican Sarah Palin, amesema kwamba mcheshi Sacha Baro Cohen alimdanganya kuwa alikuwa mwanajeshi aliyeumia ili akubali kufanya mahojiano naye. Je! Ucheshi aina hii unaonyesha "uovu" kama vile Palin anavyosema au unafurahisha? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcnews Swahili.?