Habari za Global Newsbeat 1000 12/07/2018
Huwezi kusikiliza tena

GLOBAL NEWSBEAT: Chanjo ya Ukambi kufanyiwa uchunguzi

Shirika la afya duniani WHO limeanza uchunguzi kufuatia vifo vya watoto wawili huko Samoa waliofariki punde baada ya kupewa chanjo dhidi ya maradhi ya ukambi.

Je, unaamini chanjo zinapewa watoto wachanga?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com