Habari za Global Newsbeat 1500 12/07/2018
Huwezi kusikiliza tena

Picha ya kwanza ya watoto wa Thai imeonekana

Picha ya kwanza ya video ya watoto wa kiume waliokuwa wamekwama mapangoni huko nchini Thailand imeonekana,ikiwaonyesha watoto hao 12 na kocha wao wakiwa wanapatiwa matibabu.

Je, ni kitu gani kilichokuvutia kuhusu kisa hiki cha watoto wa Thai.

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com