Arusha inavyotoa fursa na kuchangia kukuwa kwa uvumbuzi Afrika
Huwezi kusikiliza tena

Chuo cha 'Twende' Arusha kinavyotoa fursa na kuchangia kukuwa kwa uvumbuzi Afrika

Chuo cha uvumbuzi Twende Arusha Tanzania kimeasisiwa na Bernard Kiwia. Anatoa uhamasisho kwa jamii kuvumbua suluhu kwa matatizo yanayowakumba. Hii ni makala ya BBC kuhusu uvumbuzi iliyofadhiliwa na wakfu wa Bill and Melinda Gates.