Wasiwasi huku bomoa bomoa ikitarajiwa Kibera Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Mamia ya wakaazi wa Kibera Kenya kupoteza makaazi yao katika bomoa bomoa

Muda unayoyoma kwa mamia ya wakaazi wa mtaa wa mabanda Nairobi - Kibera wanaoishi eneo lililotengewa ujenzi wa barabara. Awamu ya pili ya ubomoaji wa makaazi ya watu zikiwemo pia shule na maeneo ya biashara inatarajiwa kuanza wiki hii.

Mada zinazohusiana