Mtaa duni India wapata sura mpya
Huwezi kusikiliza tena

Khar Danda: Kupaka rangi nyumba India kutasaidia wakazi kupata mawazo mema?

Khar Danda, kitongoji duni cha wavuvi karibu na Mumbai mji mkuu wa India, kimepata sura mpya baada ya wasanii kupaka nyumba hizo rangi za kuvutia na kusema kwamaba rangi hizo zitachangia kuwapa wenyeji mawazo mema.

Je, unakubali kwamba mazingara yakivutia basi mawazo yanakuwa mema?

Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcnewsSwahili.