Kilichonifanya kukaa kimya nilipofungwa kizazi Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Global NewsBeat 16.07.2018: Kilichonifanya kukaa kimya nilipofungwa kizazi Kenya

Michael ni mmoja kati ya Waafrika wachache ambao wameamua kufanya Vasectomy kama njia ya kupanga uzazi. Ameiambia BBC vile utamaduni wa Afrika unamfanya akose kuzungumzia njia hio ya kupanga uzazi ambayo wataalam wengine wanaamini inaweza kuwa suluhisho la kukua kwa kasi kwa idadi ya watu barani Afrika.

Je, unadhani njia ya Vasectomy ni suluhisho katika kupunguza ongezeko la idadi ya watu?

Tupe maoni yako kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcnewsSwahili.

Mada zinazohusiana