Wakazi wa Kogelo wamefaidi kutokana na Obama?
Huwezi kusikiliza tena

Wakazi wa Kogelo wamefaidi kutokana na Obama?

Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama amekuwa eneo la Kogelo, Siaya magharibi mwa Kenya ambako jamaa zake huishi.

Ndiyo mara yake ya kwanza kuzuru eneo hilo tangu awe rais na baadaye kustaafu.

Wakazi wa eneo hilo wana maoni gani kuhusu ziara hiyo? Wanaona manufaa yoyote?

Mada zinazohusiana