Afrika Kusini: 'Jirani yangu ana Ukimwi na ni mbakaji'

Afrika Kusini ni moja ya nchi zenye matukio mengi ya ubakaji duniani. Lakini kuna mji mmoja nchini humo ambako hali inaweza kuwa ya hatari zaidi na mji huo unaitwa Diepsloot.

Mwandishi wa BBC Africa Eye Golden Mtika amefuatilia uhalifu huo na kuandaa taarifa hii.