'Sikuweza kupata usaidizi baada ya kubakwa'
Huwezi kusikiliza tena

Je, kuna makundi yakusaidia waathirika wa ubakaji katika eneo lako?

Miaka miwili iliyopita , Fern Champion alibakwa alipokuwa safarini Ulaya. Aliporudi nyumbani Uingereza, alitumaini kujiunga na shirika lakuwasaidia walionajisiwa lakini hakufuzu hata kuwa kwenye orodha ya kungojea. Je, kunayo makundi yakusaidia waathiriwa wa ubakaji katika eneo lako? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebokk, bbcnewsSwahili.