Mwanamke aliyepigania haki za wanawake nchini Misri
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke aliyepigania haki za wanawake nchini Misri

Huda alifungua shule ya wasichana , na kuanzisha Muungano wa kupigania haki za wanawake Misri ambapo alifanikiwa kupigania umri wa kuingia katika ndoa kwa wasichana kupandishwa hadi miaka 16