Kati ya Obama na Mandela nani mchezaji ngoma stadi zaidi?
Huwezi kusikiliza tena

Kati ya Obama na Mandela nani mchezaji ngoma stadi zaidi?

Kati ya Rais Mstaafu wa Marekani Barack Obama na aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela nani mchezaji ngoma stadi zaidi?

Mjadala huo ulizuka Jumanne na Obama mwenyewe alikuwa na jibu.

Mada zinazohusiana