Je unajua Kikoi unachovaa kinafumwa vipi?
Huwezi kusikiliza tena

Hivi ndivyo namna 'Kikoi' chako au shuka inavyofumwa

Kikoi, vazi katika tamaduni tofuati Afrika mashariki vinazidi kuagizwa kutoka mataifa ya nje kutokana na kwamba sio watu wengi siku hizi wanavifuma kwa mkono. Grace Wairimu ni mmoja ya wafumaji wachache waliosalia Kenya wa ufumaji wa vikoi kwa mkono huko Naivasha. Anaonyesha jinsi ya kukitengeneza Kikos kuanzia kuchagua uzi wa kufumia mpaka kinapokamilika kikoi chenyewe.

Mada zinazohusiana